Mpingo Farmers
About the Farm

MPINGO FARMS hawana dogo HAYA UMEANZA na SISI AMBAPO NDIO WKATI SAHIHI WA KUPANDA MICHE YA MITI YA AINA MBALIMBALI. NA LEO MITI YA MATUNDA ndani ya MPINGO FARMS TUMEAMUA KUKULETEA OFA ILE MICHE YA SH 2500/= baada ya 3000/=

WhatsApp 0656653333
0784656861
Miche hii ni ya kisasa huanza kuzaa kuanzia miaka miwili Hadi mitatu imeandaliwa kitaalamu kutoka MPINGO FARMS MOROGORO

AINA YA MICHE INAYOPATIKANA NI
• Maembe aina zote - 2500/=
• (Red India, Alphonso, Bolibo, Dodo, Apple, Tommy na Kent)
• Machungwa -2500/=
• Limao -2500/=
• Parachichi(Hass na fuete local) -2500
• Chenza -2500/=
• Ndimu -2500/=
• Pomelo -3000/=
• Passion -1500/=
• Giant passion -3000/=
• Migomba -2500/=
• Strawberry - 2500/=
• Pera -2500
• Stafeli -2500/=
• Topetope -2500/=
• Fenesi. -2500/=
• Minazi mirefu - 6000/=
• Mizambarau -2500/=
• Papai za kisasa -3000/=
• Komamanga -2500/=
• Tende - 10000/=
• Mizaituni -5000/=
• Zabibu. - 5000/-
• Miti ya Hina - 3000/=
• Korosho -3000/=
• Macadamia -3000/=
• Mikaranga(Guinea nuts)- 3000/=
• Miche ya Apple -10000/=

VIUNGO (SPICES)
• Karafuu - 5000/=
• Mdalasini - 2500/=
• Pilipili manga -2500/=
• Vanila -5000/=
• Iliki -5000/=
• Mint -5000/=
• Rosemary - 5000/=
• Green tea -3000/=
• Mbilimbi - 2500/=
• Mchaichai(lemon grass)- 3000/=

MITI YA MBAO ni sh . 1,000/= ukichukua mingi Kuna punguzo.
Miti yenyewe ni kama vile: -
• Mitiki
• Mikaratusi
• Mijakaranda
• Grivellia (mielezi)
• Mivule
• Sederela
• Mikongo

Miti ya kivuli
• Midodoma 3000
• Mijohoro 3000
• Ashok. 3000
• Mikrismass. 3000
• MIHARADALI- 3000

Unapatikana MOROGORO mjini mkabara na Nashera hotel

Kwa wale wa Morogoro au jirani unaweza ukafika kitaluni kwetu au kama ni Mikoani tunakutumia kwa basi popote ulipo Tanzania bara .Utaratibu ni kwamba utatuma pesa ya idadi ya Miche unayohitaji pamoja na hela ya usafiri alafu tutakuandalia mzigo wako tutakupigia picha mzigo alafu tunakutumia pamoja na tiketi ya Basi ambalo litakuletea , wewe utafika ofisini kwao kuchukua mzigo wako

UKIHITAJI MICHE ZAIDI YA 1000 TUNA OFA YA PUNGUZO MAALUM KWA AJILI YAKO.
Karibuni Sana

Mpingo Farmers

Mpingo Farms - Morogoro: Miche ya miti ya matunda, mbao, kivuli na viungo, ikipatikana kwa bei nafuu. Tunatuma mizigo mikoani Tanzania Bara!”

Ikiwa unataka, naweza pia kuunda toleo fupi zaidi linalovutia kwa mitandao ya kijamii.

Location:

Products from Mpingo Farmers Order on Orbitcart

No products found for this farm.